
Karibu tujifunze neno la uzima
UTAJIRI WA KIMUNGU NDANI YAKO
“Maana mwaijua neema ya Bwana wetu Yesu Kristo, kwamba alikuwa maskini kwa ajili yenu, ili kwamba ninyi mpate kuwa matajiri kwa umaskini wake.” 2 Wakorintho 8:9 Wakristo wengi humtafuta Mungu kana kwamba bado wanajaribu kumshawishi awabariki. na wakati Neno la Mungu linatufundisha tofauti kabisa, kwamba kupitia kazi ya Yesu Kristo msalabani, tayari tumepokea urithi mkuu…
FANYIA KAZI WOKOVU WAKO
Basi, wapendwa wangu, kama vile mlivyotii siku zote, si wakati nilipokuwapo tu, bali sasa zaidi sana nisipokuwapo, ufanyeni kazi wokovu wenu wenyewe kwa kuogopa na kutetemeka.” Wafilipi 2:12 Mara nyingi wakristo wengi hukubali kuishi maisha ambayo yako chini sana ya kiwango ambacho Mungu amewaandalia. Wanaridhika na ushindi mdogo, maarifa madogo ya Neno la Mungu, maisha…
Follow My Blog
Get new content delivered directly to your inbox.